Habari!
Nataka kuingia kwenye biashara ya utafutani madini ya dhahabu lakini sio kwa kuchimba bali kwa tutafuta kwenye mito (alluvial gold).
Naomba kujua ni mito ipi ina ile dhahabu ya mchanga? Na kijiji kipi? Na gharama/utaratibu wa kujiunga na wachimbaji wadogo ni kiasi gani na utaratibu upoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.