Recent content by baly

  1. B

    A day in the Buddhist college

    Sujui mpaka leo yuko wapi na alifika wapi na hii dini ila arirudi kutoka south afrika akiwa mtu tofauti sana na kikubwa alikuwa mnyenyekevu sana
  2. B

    A day in the Buddhist college

    Hii story imenirudisha mwaka 2000 mwanza Ndugu wa mpangaji wetu alirudi kutoka masomoni na kukuta wenyeji wake wamehama Nilikuwa la saba na hakuweza kunisimuliza zaidi ya kunionyesha picha kwa kuwa alisema nisinge elewa Na alipewa video kama zawadi kwa miaka iyo ilikuwa kitu kikubwa sana
Back
Top Bottom