matokeo waliyotoa nacte ni ya wizara ya elimu, mfaham nacte ni tawi la wizara ya elimu, kwa kuwa wizara ilitoa tangazo kwamba hadi wenye4 masomo ya sayansi waombe, alafu wakafanya mabadiliko bila raia kufaham, kwa hiyo nacte wametangaza matoke ya waliochaguliwa ualimu kwa niaba ya wizara ya...
kaka usijipe moyo hivyo vyuo vyote vimechukuwa stashahada ya elimu ya awali ingia necta angalia stashahada elimu ya awali vyuo vyote utaona vimebeba wanafunzi kuna demu1 amepata murutunguru na jamaa wa mwanza amepangwa tarime tc
huo ni uzushi mtupu usipende kuropoka vitu ambavyo hujavithibitisha, usisikie tu na ww ukaanza kuropoka, kwa taarifa yk mm nipo chuon hapa chuo cha serikali na wiki hii majibu yatatoka, walichelewa kwakuwa walikuwa wanaanda module za mafunzo rekebishi na waliokosa kidato cha5 awamu ya 2...
Chuo kina chukua wanafunzi wenye div1 hadi div4 ya 34 ya mwaka2013, chuo kinatoa kozi ya ualimu ngazi ya cheti(grade A) na ualimu wa chekechea, chuo kina walimu waliobobea ktk taaluma ya ufundishaji na hakija wahi felisha mwanafunzi, ada ya day ni laki7 na unaweza lipa kidogokidogo na boarding...
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Kama ulifaulu phsc, chem, bios, maths na uliomba dip mkopo lazima upate kwani serikali inawahitaji nyny kama Almasi. Najua tumechoka kitaa ila subira ndio muhimu bado siku chache
Wale wenye four za 26 na 27 mlikua wapi miaka yote hadi mnabahatisha mwaka hu? Mnajuta sana, coz miaka ya nyuma mlikuwa mnachaguliwa na hizo four zenu sasahiv maji shingoni. Lkn msife moyo bado hamja chelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.