Mm MWL idara ya sekondari nipo mkoa wa Lindi ,wilaya ya kilwa ,shule ya sekondari ilulu .IPO njiani kuelekea dar ,mm niende shule yoyote ya mbagala ranging tatu. Au mkoa wa tanga wilaya ya lushoto au morogoro mjini. Tafadhali usiache kunitafuta.
Mawasiliano 0657 509114
KARIBU KILWA.
kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.