Pia kuna group la whatsap unalipia 5000, Dada atakuunga baada ya hapo unaagiza mzigo unaotaka kukufikia kwa meli kwa mda wa mwezi mmoja hivi, yeye mda mwingi yupo huko
Kama kuna mtu yeyote anauza kiwanja mitaa ya kimara sehemu ndoogo tu ya kujenga kajumba kadogo tu kakuanzia maisha, Ni Pm kuna ndugu yangu Natalia
Price isiozidi 3mil, PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.