Recent content by bagabe

  1. bagabe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Ester, Rav4 yaua watatu Kilimanjaro

    Huyo dogo aliyefariki amemaliza chuo mwaka jana Degree ya Account na mdogo wangu wa kike hapo TIA..Alikua anaishi kwa Azizi Ali na jana aliwaaga marafiki zake anaenda Nyumbani kusalimia wazee na gari private.Saa 9 na nusu usiku alipost status akiwa anapata chakula (Chips kuku na juice) akaandika...
  2. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Ipo mkuu kiasili usiseme hivyo hayajakukuta..Nina rafiki yangu ni Lecturer pale mlimani na yeye ana likango kapoteza mimba kama 10
  3. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Nisaidie contact pm
  4. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    O +
  5. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Asante mkuu🙏
  6. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Rh yetu ipo sawa mkuu hakuna shida
  7. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Ni kama bawasiri mkuu nishauri tu ndugu yangu
  8. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    😄 kati ya hao 10 watoto wa shule wapo mkuu lakini hakuna aliyejifungua
  9. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Positive kwa positive hakuna shida mkuu kabda ingekua negative kwa positive
  10. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Tulifanya damu zetu zinaendana
  11. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Asante sana mkuu
  12. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Bado sijafanikiwa Dr. na miaka inazidi kwenda mimba zote zinapotea 🥲
  13. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Mzee hii ishu ni serious sio masikhara,na sio mimba tu hata watoto wakizaliwa hawafiki mwezi wanakufa kwa wanawake karibia 10 wote
  14. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Wote tupo 0+..hata hivyo kuna wengine 9 wote hawajafanikiwa kupata mtoto mimba zinaharibika
  15. bagabe

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

    Unapaka alove vera kila siku au..Na inaondoka kwa muda gani?
Back
Top Bottom