Recent content by Baflo

  1. Baflo

    KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  2. Baflo

    PreGE2025 Kwa kasi hii ya kurekebisha miundombinu Mbeya, tunatamani Uchaguzi uwe kila Mwaka

    Huku kibaha mjini pwani mtaa wa Lumumba mvua ikinyesha tu shughuli hamna, wamama wajawazito wanakosa huduma kwenda hospitali wengine wanapoteza maisha..Tuwekewe hata kokoto tu kuingilike
  3. Baflo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Tangu sept 2 mpaka leo Dec 22 zimepita zaidi ya siku 90.Je, taratibu za manunuzi ikiwa na maana ya mkataba wa mtoa huduma mpya, zimekamilika??.Je mtoa huduma mkataba wake unaanza lini utekelezaji ikiwa ni pamoja na kuona ameanza kuingiza mabasi mapya kwenye mfumo??..tunataka kuona matokeo
  4. Baflo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kwa hapa kivukoni sa hv kama lisaa naona kuna mgomo wa madereva
  5. Baflo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Mngeanzisha VIP trips,basi nzuri na hamna kusimama humo ndani full Ac na pia mtu anaibook akiwa home na pia iwe na kagharama flan kamechangamka hata buku tatu from feeder to destination trunk.. au basi me naota tu
  6. Baflo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kwa hiyo DART mnachagua maswali na maoni ya wateja ingawanyana hoja ndani yake?
  7. Baflo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Tentative dates za ujio wa magari mapya na matumizi ya kadi ji lini?
Back
Top Bottom