Ni aibu na fedheha kwa taifa kama viongozi wa nchi kama vile makamu wa rais na balozi wanaweza wakapotea na hakua chombo cha ulinzi na usalama kinatoa taarifa za kupotea kwa watu muhimu kama hawa .hao walinzi wanalinda nyani au ?
Nimekuwa nikijiuliza swali kama hili.Rais na makamu wa rais hawatakiwi kuondolewa na chama bali na wananchi kupitia bunge au mahakama. kama sivyo ,basi katiba iliyopo ni mbovu sana. rais na makamu wa rais ameteuliwa na wananchi siyo chama au kundi fulani.
Mao killed 78-80 million
Joseph Stalin. : killed 20 milliom
Genghis Khan :killed 40 million
Adolf Hitler : killed 6 million
Puttin : killed two million
kuna watu wanainjoyi kwa kuua watu.daaah
Kwa hiyo hapa duniani tunaangalia ni upande gani tunanufaika .hili ni kweli kabisa.dunia iko complex sana aisee.ndiyo maana kuongoza watu ni kanzi ngumu sana.afadhali uongoze ng'ombe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.