Recent content by Baby is Mad

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wadau nina shida kubwa

    Likely
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

    Rudia kusoma nilichoandika nyuma
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

    Atazeeka akikariri.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

    :thumbup:
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake pesa zenu huwa mnapeleka wapi?

    Hahaha kakudanganya nani no 1 Mpk 3 vyote nimefanya kwa hela yangu,ila sijaolewa bado ni siri yangu na kaka na dada zangu tu.Hizo zingine nashirikisha third party ajinyooshe.Account namuonyesha ile ya mshahara baada ya kuhamisha.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Angalia sana maneno yanayotoka kwenye mdomo wako

    Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

    Rejected men are always bitter. Wanaonekana tu wanavyopondea wanawake huku.Ile sumu ya rejection ndio wanakuja kuimalizia huku.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hali hii ya huyu house girl inatisha

    Cha muhimu mrudushe kwao,hata ilitokea umempeleka kwenye maombi na akatulia .Pia hao spiritual waliomkaa hana sifa ya kukaa na mtoto,wakati mwingine wakiwa na roho za kichawi wanaweza kuhamishia kwa mtoto.Kuna MTU ameharibiwa mtoto wake hivi hivi na msaidizi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anayenifaa

    Hata kimaamuzi utakuwa shallow hivi hivi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

    Shemijio mnaiva vizuri,kama sio.Nionavyo inawezekana Mke wa bro wako hakutaki,yawezekAna anatumia hila uondoke.Mpunguze name gharama
  11. B

    JamiiForums Tanzania Aibu na fedheha yanapokutokea haya kwa mwanaume

    Exactly :thumbup:
  12. B

    JamiiForums Tanzania Aibu na fedheha yanapokutokea haya kwa mwanaume

    Umarioo umekuuma sana kuletwa hapa Hii mada imekugusa sana,tena wewe una had hi ya kunifanyia usafi kila nikiingia chooni kwangu tu.maana hats vyombo vya mama ntilie hutoweza kuoshA mteja akaridhika
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tusiwalazimishe wenza wetu kupenda watoto wetu wa nje

    Ahsante sana umeandika uhalisia.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukishajua hiki kitu kinathamani kwako kitunze kidumu

    Hell no!,si huwa mnasema mnapenda sura na shape.hay a tabia hizo vumilianeni. Wanawake wezangu wengine ni majanga kwa kweli
Back
Top Bottom