Recent content by BabWoo

  1. BabWoo

    SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Na hii itakua imewagusa zaidi wananchi..tukifeel kuhusishwa tutaongeza hata ari ya kuwalinda wanyamapori
  2. BabWoo

    SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
Back
Top Bottom