Recent content by babuazaboy

 1. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  Kusomea MD nje ya nje ni ngumu kidogo pia ni expensive. Sina details nyingi kuhusu kusoma MD
 2. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  Kama ndio kwanza unaanza, wewe ndio una mda mzuri wa kujiandaa ukiwa chuo. Unaweza kujiwekea plan mapema na kujua unataka kufanya/kusoma nini ukishamaliza chuo. Unatarajia kusoma kozi gani?
 3. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  Mfano nimegoogle Iowa state university nimepata links hizi hapa https://www.me.iastate.edu/applying-to-mechanical-engineering-graduate-programs/ https://www.me.iastate.edu/graduate-admissions-funding-assistantships/
 4. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  Ishi ni kufanya research ya uhakika kabla ya kuapply. Unasoma Bachelor ya geograpgt and environmental, je kwa Masters unataka kusomea nini?
 5. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  System ya US na Canada huwa wanataka 3.0/4.0 ambayo ni 75% so kwa system ya Tz 75% ya 5 ni kama 3.75/5.00.
 6. babuazaboy

  Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

  Hii thread ni kwa ajili ya wana chuo au watu waliomaliza chuo kabisa na wenye ndoto ya kwenda kujiendeleza kimasomo kwa Masters na PhD. Naandika huu uzi kutokana na my personal experience. 1. Rejea kichwa cha habari, nimeandika 100% FUNDING sijasema 100% SCHOLARSHIP. In short kwa US na Canada...
Top Bottom