Mkuu mimi sidhani kama nina kosa la kuhujumu nnchi hapo, coz mwajiri wangu ndo anatakiwa kunipa mkataba baada ya probation period kuisha. sasa yy nikimwambia hataki
Habari wana JF, mimi nilikuwa nafanya kazi na kampuni X kwa mda wa miaka miwili bila kuandikishiana mkataba wowote kisheria. nilikuwa nafanya kazi kwa makubaliano ya maneno ya mdomoni tuu na nilikuwa nalipwa kwa mwiso wa mwezi kama wafanyakaazi wengine walioajiriwa kwa written contract. sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.