Recent content by Babeli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    Unaweza jaribu bahatisha tukio alaf utuambie
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Tanzania DR Congo ni yapi?

    Kama hujui uchumi kaaa kimyaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Tanzania DR Congo ni yapi?

    Ni Kwa sabb hamjui yaliyomo yamo
  4. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Nadhan uliyeandika andiko hili nenda kajitafakari..tena
  5. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Bro nenda kanywe chai ya maziwa, unywe maji then ukae Kitako Kwa kutulia.shusha presha maana sindano imekuingia vizuri..
  6. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta siasa..embu shauri ungekuwa wewe ungefanyaje..mgonjwa katibiwa bahati mbaya kafariki, je angekuwa amepona ndugu wasingelipa?? Je akifa inamaanisha hakutumia dawa ??? Au Rais aliwaambia serikali italipa??.. Nadhan RC amewaambia ukweli mchungu ambao inatakiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

    Jomba sio watanzania tumepigwa, wewe ndio una ujinga wa kutoelewa na kuchanganua mambo..una elimu gani jomba?? Kwa hili lihoja uko peke yako
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Hiv unadhani ni uchunguzi rahisi kiasi hicho..kwani waliofanya matukio hayo unadhani hawana akili..unadhani wamekurupuka bila kuwa na plan..unadhani hawajui wakikamatwa kitakachowakuta...au unadhani Polisi ni watabiri na malaika wa kujua aliyefanya matukio...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Kwani jomba ungekuwa wewe ndio Rais ungechukua hatua gani, tuanzie hapo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

    Ulipinga wewe na kina Mbowe..kumbe..mngepeleka hoja bungeni
  11. B

    JamiiForums Tanzania Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

    Chuki binafsi tupa kule
  12. B

    JamiiForums Tanzania Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

    Hii ni Kwa mawazo yako jomba...kulingana na wewe unavyohisi na kuwaza...sasa kubaliana na wengine wengi ambao wamefurahi na jina Hilo kama mwanzilishi wa ujenzi wa project hiyo..kongole kwake mwendazake, RIP....mtetezi wa wanyonge na mpenda haki..tusimungunye maneno hapa..hata Rais wetu kipenzi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Kesi ipi tena jomba..??embu tuhabarishe..la msingi msimuingize mama yetu na makesi yenu..reli imeshachukua kazi saizi...msitutoe nje ya reli..malizaneni wenyewe huko..
  14. B

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Atakuwepo kwenye sherehe ya nyama, amealikwa nadhani...
Back
Top Bottom