Habari wanajamvi, naitwa ***, jinsia ya kiume na mkazi wa Arusha mjini, lengo la thread hii ni kama inavyojieleza (natafuta rafiki wa jinsia ya kike) kwa lengo la kubadlshana mawazo na connections mbalimbali
Umri wowote
Kabila lolote
My CV
. Kwa sasa ni mwanachuo ninayetegemea kumaliza ivi...