A.Je nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa....
Kama kimepimwa je Kuna umiliki(hatimiliki)
Kama Kuna hatimiliki uliza umiliki upo chini ya muhusika gani....
Kama ukipewa majina yenye umiliki nenda kafanye 'official Search' wizara ya ardh kupitia Kanda husika....
Search itaonyesha mmiliki wa...
Apa khs MGOGOLO it's another sensitive case na apapimwi mpaka kujilizisha Kama suruhisho ilipatikana.
Ardhi yenye mgogolo aipimwi mpaka mgogolo uishe kwa pande zote mbili kwa kuafikiana au kwa njia nyengine yenye kuleta suruhisho...ndio mana tunafanya reconaisance(site visit) lengo kutambua...
Nimesema inatakiwa mtaalamu akakague eneo lako ili kujua Kama eneo lako Lina Mchoro wa mpango miji au hapana....na Kama upo na unaendana na eneo lako ndipo Apo mchakato wa kupata iyo instruction to survey unaanza kijana...
Hapana uko kwa Serikali ya mtaa Nimejaribu kuzielezea kwa maana mtaalamu na mmiliki mkiafikiana kupima eneo Kuna document zinasainiwa kupitia ngazi ya Serikali ya mtaa na kata kwa maana wao ndio wanakutambua wew Kama mmiliki na mtaalamu yeye wajibu wake na kusubmit nyaraka zako zilizopita kwa...
Yes kila ardhi inapimwa kulingana na majibu yatakayopatikana kutokana na site visit.....Kuna upimwaji wa mashamba na upimaji wa viwanja naielezea vyema hapa chini.
Upimaji wa mashamba....hii inamaana endapo eneo likiwa Alina sifa ya kupimwa Kama viwanja na kibali chake n papimwe Kama shamba au...
Taratibu za upimaji na umilikishwaji zinafuata miongozo ya kiserikali na sio kwamba mtu anajitungia tuu.... ambapo mlolongo wa kuanzia barua unaanzia au unapita kwa Serikali ya mtaa,Kata,halmashauri/wilaya mpaka kupata aprove ngazi ya Kanda....na mpima anaweza kufanya kazi kupitia registered...
Gharama n za mteja(mmiliki) na atahusika kumpeleka(mpima) mpaka site maana mmiliki ndie anayefahamu mipaka ya ardhi yake....output yake Ni kufuatilia Mchoro wa mipango miji na kurejesha mrejesho kwa mteja...
Hatua ya kwanza n muhimu mtaalamu afike site na kifaa kwa ajili ya kuchukua taarifa za awali ili tuweze kujua Kama eneo lako limepangwa (Ramani ya mpango miji) na Kama Ramani ya mpango miji Apo tunaingia Rasmi kwenye hatua ya upimaji ili tupate plot namba ya kiwanja au eneo lako........
Na...
Gharama kuu ya upimaji itakuja baada ya kufika site na kujua uhalisia wa kupande chako Cha ardhi kinaonesha aina gani ya matumizi umepangiwa ktk ardhi yako
Inawezekana hatua ya kwanza n mtaalamu kufika site kuchukua majira ya nukta (x na y data) katika kila Kona ya kiwanja chako ili tujue Kama Kuna michoro ya mpango miji...
Uliza chochote kuhusiana na harakati za upimaji wa ardhi kiwanja au shamba na namna ya kupata hatimiliki....
Mtaalamu nipo na Kama una ABC khs ardhi uje tubadilishane mawazo hapa...atupokubishana Bali kubadilishana mawazo
Ukihitaji huduma ya kupimiwa ardhi pia tunapiga kazi..maana tupo kukuhudumia
Umeelezea vizuri Ila Apo kuanzia namba 9 na kuendelea umeelezea taratibu itayofanyika endapo mtu atanunua kiwanja kilichomilikiwa tayari kwaio ukihitaji kufanya transfer ndio unazihusisha izo taratibu kuanzia 9 na kuendelea.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.