Recent content by baba khan

  1. B

    TRC salary scale

    Hyo 500000 na hata hii zote wanakupga fix ndugu yangu dploma mshahara zaidi ya hzo zoot mbili
  2. B

    TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    Upo sahh shida ya vijana wao kila kitu ni zima moto.. Utakuta mtu kamaliza chuo mda mrefu anashindwa kufatilia vitu vyake mapema.. likitokea jambo ndio pirika zinaanza alafu hawa hawa watakuja kutoa lawama kwa Serikali.. Me naona muda unatosha
Back
Top Bottom