Recent content by Baba Ian At.

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kinana:"Kwa Matokeo haya ya Uchaguzi wa Madiwani, Sioni haja ya Kuboresha Daftari la Wapiga Kura"

    CDM hawana haja yakuvunjika moyo wanapendwa na wananchi wengi kuliko cmm ila tatizo ni moja wahimize uboreshaji wa daftari la wapiga kura vijana wanalisubiri kwa hamu kubwa. Itakuwa maajabu jamaa hawataamini macho yao kwenye chaguzi baada ya hapo. Itakuwa kichapo tu. Kama Arusha 5 bila.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chadema kushinda kalenga

    Kwa sera ya gesi kwamba kila mtz anaweza lipwa m3 kwa mwezi kwa miaka mia na 20 iwapo wataingia madarakani itakuwa kichocheo kikubwa kwa ushindi wao wtz wanataka maneno ya matumaini sio mipango na mikakati ya miaka 50 ya hao jamaa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    CDM kiboko kupora kata hata moja ya magamba nishughuli pevu.
Back
Top Bottom