wanawake mnawadekeza saa nyingine. loh. huyo akinuna we unanuna mara kumi yake na kuwa bize juu ila matumizi unatoa kama kawaida. siku nyingine unalala nje akikuuliza mwambie ni bora nilale stand kuliko kero zako humu ndani.
usimlegezee kabisa. kuna namna ameona we mpole so anataka akutawale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.