Recent content by BAAJUN POET

  1. BAAJUN POET

    SoC02 Dhana ya ushoga na sintofahamu iliyopo juu ya wahanga wa ukatili wa kihisia, kijinsia, na kimaumbile Tanzania

    DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA UTANGULIZI: Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii inaogopa kuzungumza. Familia nyingi zinasubiri muujiza; hali ya kuwa ziko katika sintofahamu juu ya namna...
  2. BAAJUN POET

    SoC01 Namna ya kujiajiri kupitia udhamini

    Pole kwa changamoto. Nadhani watakuwa wameliona. Shukran kwa kusoma makala hii.
  3. BAAJUN POET

    SoC01 Namna ya kujiajiri kupitia udhamini

    Je, huna mtaji na ungependa kujiajiri? Je, una wazo zuri la mradi au biashara lakini hujui uanzie wapi sababu ya kipato? Leo nitakufungulia njia kidogo na kukupa mwangaza! Leo hii ningependa kuwajuza njia bora ya kujiajiri (kwa vijana wasio na ajira), na kupanua biashara (kwa wale wenye...
  4. BAAJUN POET

    SoC01 Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono kwa watoto na vijana: Madhara na jinsi ya kukabiliana na vitendo

    Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla. Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
Back
Top Bottom