Recent content by Ba2nda

  1. B

    Mambo gani yaliyokuvutia ukashawishika kumu aproach mwenzi wako

    Chupa tu zilikua zimenizidia nikamuona kama Mzungu kumbe wa hapa hapa Sukuma land.
  2. B

    Naogopa...........

    Wanawake wazuri na wenye sifa za kuolewa huja kwa mipango yake Mungu na si vile tutakavyo sisi wanadamu hivyo ni vyema kuwa na subira, utampata tu wa haki yako.
  3. B

    Nilimpenda sana akanitosa, sasa nipo na mdogo wake... Ananitaka

    Ni vyema kua na maamuzi sahihi na ni vyema pia kuusikiliza Moyo wako ni nini unahitaji japo huyo mdogo alikuelewa mapema ila wewe ndio unajua ni yupi amekukaa nafsini,just listen to your heart.
  4. B

    WANAWAKE waliong'olewa VING'AMUZI.

    Binafsi nimewahi kukutana na wanake kadhaa ambao wameng'olewa ving'amuzi huwa hawako huru hasa wakati wa kugegedwa, hawapendi kushikwa papuchi zao na huwa hawatoi ushirikiano kabisa.
Back
Top Bottom