Recent content by B action

  1. B

    Wajuzi bei za matrekta ya kilimo

    Habar wana Jf naomba kujua swaraj ni trecta inayoweza kulima 24hrs bila kuhitaji kupumzishwa!? Na vip kuhusu ubora wake ama changamoto zake ukilinganisha na Massey & New holland
  2. B

    Wajuzi bei za matrekta ya kilimo

    Mkuu naomba kujua vigezo vya ubora wa swaraji na ubaya wake pia haswa 960 na 963 iwe 2 Wd ama 4wd kwa ujuzi wako ndugu
  3. B

    Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Blacksamurai, nimekuelewa sana ndugu nimekua nikikuatilia juu ya ufafanuzi wako kiukweli nimepata elimu zaidi kupitia wewe umenipa nguvu ya kuwa na shauku ya kununua mashine ya kazi
Back
Top Bottom