Wapendwa wana JF,
Nauza kiwanja kipo maeneo ya pugu kinyamwezi kinapakana na shule ya sekondari ya Kinyamwezi
ni km 14 toka air port, mita 400 toka barabara kuu iendayo chanika.
eneo lina ukubwa wa ekari 12. nauza eneo la sq 1200 tu kati ya hizo eka yani (40x30) bei 12 mil maelewano yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.