Jamani nilikua naomba kuuliza! Je? kuwezekano wakatumia njia ya mchujo kwa kuwapa mitihani wale watu waliosoma kozi Moja? Na kingine nahitaji kufahamu kama wanataka MTU mwenye certificate je Mimi mwenye diploma naweza kuomba pia??na interview zao wanaangalia nini haswa,Kwa anaefahamu jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.