Recent content by Aziz Ituka

  1. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Huu ni uwongo uliokithiri! hatakama ni kubebwa ushift kutoka 4 hadi 1. Kama umekosa cha kuandika kaa ujipange itakua lamaana na co kukurupuka, poa dogo!
  2. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012.

    we umetumwa na nani mkuu?
  3. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kuchapwa viboko shuleni naunga mkono sana tu

    Viboko havina maana yoyote na sio kama vilifutwa ni maneno tu. na mwanafunzi si lazima achapwe viboko ni akili ya mwalimu jinsi alivyo andaliwa na ukaribu wake yeye na mwanafunzi ndio inaweza kumbadili mwanafunzi,lakini kiboko hakuna kitu
  4. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada anayeijua kibosho school of nursing...

    Naombeni information kuhusu interview na vituvingine kwa anayefanya application please...
  5. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Mmmh! Sidhani coz hawasemagi kuwa yatatoka lini
  6. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu na elimu bila kukaza aaa hutoki

    Nyie wanaJF gani all the time mnachallange watu? Grea thinkers hawawagi hivyo.
  7. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    mkuu nadhani elimu yako ni ya darasani tu, na ukiona hivyo ni hatari ni bora utafute cherehani uanze kushona
  8. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    watu wamesema sana toka jan 29 hadi feb 18
  9. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    But i beleave kuna siku mungu ataonyesha haki ilipo.
  10. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Hicho ndio kizazi cha leo(homodigital) ni globalizatîon imetawala napia na conclude kwa kuseme hii ni social network
  11. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Asante sana mkuu kwa kuwaelimisha wanaorudisha maendeleo nyuma! ALL THE BEST
  12. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    nani aliekwambia tunaboronga
  13. Aziz Ituka

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Wananchi wa sehemu uliotoka mkuu
Back
Top Bottom