Hapana, BRELA haikagui wala kuthibitisha kiasi cha fedha au thamani ya mali za mtaji wa hisa wakati wa usajili kupitia Mfumo wa BOS; badala yake, wanategemea (Na kulichukua kama lilivyo) tamko lako la kisheria - Form 14b.
Pia, kwenye Memart unaweka "Authorized Share Capital", hizi sio pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.