Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji sasaivi wamefika mia na hamsini tatizo wanataga sehemu moja wnalalia sehemoja wa tatu kila siku wanachanganya mayai matokeo yake wanayaharibu tu msaada tafadhali.
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii.
Hawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je naweza kuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje au ni ndani tu kama kuku wa kizungu.
Naombeni msaada wenu.
Asante.
Asante kwa kunionesha hao kuchi mm nilikuwa nawaitaji vigaranga japo wa mwezi mmoja au miwaili majike sita na madume mawaili lkn hawa hao wenye mdomo wa kasuku ndio shida yangu mafuta kuku tofauti tofauti wa kienyeji nilikuwa nawaitaji hao namba yangu Ni 0716428298,nipo Dar-es-salaam magogoni...
Ninaomba msaada wenu wajasiriamali maana nimetumia kila sina ya dawa hata sijui tatizo Ni nn wanakufa kidogokidogo nimesoma topic nyingi na nimezifanyia kazi hapa lkn hata sijui tatizo Ni nn.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.