Umeeelezea vizuri kiongozi lakini kwenye full back kumkaba opponent anaetokea pembeni Mimi naona njia bora zaidi ni kumuacha free second player uku ukikimbilia kwenye box mbele ya yule opponent na second player wako Ili ikitokea kamzidi unakua uko mbele kuhakikisha usalama lakini mara nyingi...
ungeweza kutumia tactical au advance tactical naona ndo njia bora zaidi ukizingatia adv.tactical inakupa options nyingi ukikaba kama ( vikumbo ,kumshika mpinzani,kuweka vizuizi njiani nk) ambapo utakaba kama tactical ya kawaida kwa kutumia R1 na R2 kwa kuhold na kuingiza mguu na ■ bila kusahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.