Recent content by Ayster

  1. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Nitumie meseji kwenye namba 0652 777 956 nipate namba yako nikuletee. Mtindi 12,000 lita 4 na fresh 12,000 lita 5
  2. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Ndio, bei inapungua. Hata wateja wangu huwa nawashauri wayatunze madumu vizuri na kwa usafi, ili kupunguza bei. Bahati mbaya sijaweza kuwahudumia wateja wa nje ya Dar
  3. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Nipigie tuongee jinsi ya kukufikishia. Naweza kukuletea ya kujaribu/ test tu bila malipo. Nina uhakika na product yangu. Ni mazuri sana
  4. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Ni kwa Dar es Salaam tu. Nime edit
  5. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Hongereni. Bei pia imejumlisha dumu la kuhifadhia na usafiri kwa nyumbani kwako. Of course na ubora safi
  6. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Ni kwa Dar es Salaam tu. Nime edit
  7. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Asante Clarity. Nimerekebisha. Ni 0652 777 956
  8. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Nyumbani.
  9. A

    Maziwa fresh na mtindi - 0652777956

    Wanajamii wa DSM, Nawakaribisha maziwa fresh na mtindi. Ni halisi, ya ng'ombe yaliotayarishwa kwa usafi wa hali ya juu bila kuchanganywa na maji wala kitu chochote. Ni mazuri na salama kwa familia yako na kwa biashara (mazito). Maziwa fresh lita 5 sh. 12,000 na maziwa mtindi lita 4 sh...
  10. A

    Natafuta dereva mwanamke

    Habari wadau, Natafuta dereva kwa ajali ya familia; 1. Jinsia ya kike 2. Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya sinza, kijitonyama, Kinondoni, Mwenge. 3. Awe na leseni halali ya kuendesha magari madogo na uzoefu wa kuendesha magari madogo Tafadhali nitumie meseji humu au jibu tangazo...
  11. A

    Kiwanja kinauzwa karibu na ofisi za NSSF

    mrangi Dege ndo wapi?
  12. A

    Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

    habari. Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme. - Germany made, brand ya Ignis - Lina sehemu nne za kupikia (4 plates) - Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote - Lina oven kubwa kwa ajili ya "grilling" and "warming" Jiko lipo sinza, Dar es Salaam. Mwenye kuhitaji...
  13. A

    Jiko la Umeme 4 plates kwa 300,000/=

    habari. Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme. - Germany made, brand ya Ignis - Lina sehemu nne za kupikia (4 plates) - Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote - Lina oven kubwa kwa ajili ya "grilling" and "warming" Jiko lipo sinza, Dar es Salaam. Mwenye kuhitaji...
  14. A

    Nyumba inapangishwa Sinza 350,000/=Tshs

    Hata mimi natamani siku serikali iamue kwenye hili jambo, mana hata mimi ni mpangaji. Sidhani kama hapa ni sehemu sahihi, natamani ningejua jinsi ya kuomba serikali ibadilishe mfumo huu ningekuwemo kwa wenye kulalamika.
  15. A

    Nyumba inapangishwa Sinza 350,000/=Tshs

    Nyumba kukosa tiles na fense haimanishi ni mbaya, ni nyumba nzuri sana ila mwenye nyumba hana tamaa kuweka bei za sinza
Back
Top Bottom