Nakucheka kwa dharau!! Ila kwasababu hujasoma chuo sikulaumu! Lini nimeandika nasoma degree msomi mm?? Kama haujuwi bsi nikwambie chuo kuna course tafauti zaidi ya degree! Kwa hiyo kwa taarifa yako mm nasoma Diploma sijafika degree bado so ukiongeia juwa unachokiaongelia ni nini! Na kwa taarifa...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wenu wa kunipa ideas ya jinsi ninavyoweza kupata faida ya atleast laki moja kila siku kwa mtaji ya million 3.
Mimi nasoma chuo na nimejibana mpaka nimeupata hiyo mtaji ila nashindwa kujuwa nifanye nini, nawaza biashara ya chips nifunguwe mabanda na niwe napata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.