Yaaan Mimi wakuu na shida hyohyo yaaan natoa pesa bila mipangilio napenda kula vizur na maisha ya ghari Sana yaliyo juu ya uwezo wangu yaaan mipangilio wa hela jinsi ya kuingia na kutoka Sina kabsa yaaan napenda Raha Sana kuliko pesa nilioyonayo nisaidien na Mimi😣😣😣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.