Recent content by axel fowly

  1. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapa Utarudi tu mkuu…aliekushauri kuanza betting ndo alikosea
  2. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo pesa ziko nyingi sana …usipokua na tamaa
  3. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo pesa ipo Ukitulia, game kibao
  4. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Celtic wanapelekewa moto …hii game Hawatoboi
  5. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu jana kama sio Raja casablanca tungempuna kanji za kutosha ..ngoja tuone leo
  6. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu siku hizi boom zimetukataa…
  7. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaha! Pole sana mkuu …achana na puli ndo inakukosesha bahati 😂😂
  8. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Walishaqualify group stage , wanacheza kukamilisha ratiba , hii ilikua sio mechi ya kubetia mkuu …ulitakiwa uikimbie hii mechi
  9. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ulipotea sana pande hizi , karibu tuendelee kumpuna kanjibai
  10. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee hii mechi uliweka maini na figo nini?
  11. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naumemaliza kupost wakatupiwa tena
  12. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naombeni 1.7 odds tu (sure odds) ! Ni stake high
  13. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama una halopesa, deposit 1000 kwenye account yako kupitia namba yako ya halopesa , then baada ya hapo withdraw kutumia huo mtandao , inakubali .
  14. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds chache kwa siku unatosheka , hakuna maumivu ya barca wala galatasaray
Back
Top Bottom