Recent content by Aweking

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Barabara zote za Wilaya kuunganishwa na Makao Makuu ya mkoa kwa kiwango cha lami inawezekana ndani ya miaka 25

    Tanzania imekuwa na sera na mipango mbalimbali ya miaka kadha mbele na imepiga hatua katika hilo. Mifano ya sera na mipango iliyofanikiwa ni Sera ya uwepo wa shule za sekandari kata , Sera ya maji vijijini , Sera ya umeme vijijini kupitia REA, Sasa kuna haja ya serikali kuandaa sera madhubuti...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya na maabara

    UTANGULIZI Katika sekta ya afya kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vipimo vya awali katika zahanati za serikali , hii hali inapelekea vifo au hali hatarishi zaidi kwa zile jamii ambavyo vipo mbali na vituo vya afya ,hospitali au hospitali za rufaa .. MAADA NA MAELEZO KAMILI Tanzania...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
Back
Top Bottom