Recent content by awadh

  1. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    DYZ inawezekana sababu nimesajili DYW tar 25 March
  2. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Testimonial yangu. Nimelipia gari Japan tar 01.01.2022 registration ikiwa DYE hivi almost miezi mitatu baadae tupo DYW. Hii ina maana DZA - DZZ itahitaji sio chini ya miezi 4 hivi hadi iishe. Jamaa wa BE FORWARD amenipa uzoefu wake kuwa estimations ni August 2022 ndio EAA itaanza.
  3. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Haya wadau mimi nimesajili gari jana Txxx DYW
  4. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Hahaha. Tutaandamana aisee
  5. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Ndugu zangu wanaosubiri EAA safari bado mbichi sana. Imagine DY ineanza December na watu walikua na hela ila tupo almost April na bado DY ipo. DZ say itaanza May 2022 tuipe miezi yake minne au mitano hivii.
  6. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Unajitaftia pressure tu mkuu, [emoji1]
  7. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Una moto sana mkuu. Kila la heri. Angalia shipping schedule, meli ni nyingi sana March unaweza kupindua meza in April[emoji1] Link hii hapa https://cdn.beforward.jp/assets/pdf/shipping_schedule_africa.pdf
  8. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    DYU tayari nimeiona jana. Confirmed
  9. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Mimi nimewahi kuvusha gari kwenda nchi nyingine ikiwa na TZ registration. Unachokifanya border ni ku-surrender original docs na unapewa muda wa kurudisha gari nchini. Sasa hizi ni issue za customs. I'm sure ukipitiliza kuna penalties na fines so hiyo issue ya Shetta itakua hivyo. Angetaka...
  10. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Acha uoga mkuu. Namba zinasogea...binafsi nitakubali matokeo yeyote
  11. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Not really, mkuu! Labda utembee na chasis number. Utaikuta DYU hivii au DYX :D:D
  12. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Tunasogea fast aisee. Mimi pia naanza kuamini EAA inaanza mwaka huu. Vyuma vimeachia :p
  13. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    July tutaingia DYZ sio DZZ naona ulikosea hapo
  14. awadh

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Hii nakubali sababu pia registration numbers zinachukua mitambo pia so miradi ikianza especially financial year ikianza namba zinakimbia pia sababu ya importation ya mitambo.
Back
Top Bottom