Vodacom mna matatizo makubwa sana.
Kwanza Sim Banking haiaminiki. Nahamisha pesa toka benki na zinatoka, linapokuja suala la kusubiri Mpesa ninachoka.
Pili, mna tatizo la LUKU. Mteja anakaa sana bila kupata token na akipiga simu anajulishwa kuna matatizo ya kiufundi. Sawa, matatizo yapo, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.