Tukiwa na nia na tukaacha maamuzi ya ushabiki tutafika. Ni ngumu pale watu wanapochukua pande na kuzishabikia bila kupima uzito wa hoja na uwezo wa mgombea binafsi. Tunatakiwa kuondokana na maamuzi ya kijumla jumla na kuanza kuzingatia yanayosemwa na kuahidiwa na wagombea mmoja mmoja bila kujali...
Nadhani bila ya kuwa makini na tume ya uchaguzi, vyama pekee havitaweza kusimamia matokeo yao. Cha msingi na sisi (TZ) kuunda tume huru na yenye lengo la kulinda maslahi ya nchi. La sivyo maana halisi ya kupiga kura itapotea..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.