Recent content by AUNT HAPPY

  1. A

    Natafuta mume

    Yawezeka ameachana,au alifiwa lkn wote ni wanaume nao wana haki ya kupata mke.
  2. A

    Natafuta mume

    Asante ndg
  3. A

    Natafuta mume

    Nadhan huo ni mtazamo wako tu,mm c shoga ni mwanamke nilie kamilika haswaa!
  4. A

    Natafuta mume

    Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya kunde.nina upendo wa kweli kabisa.sifa za mume ,nataka awe na umri wa miaka kati ya 37 hadi 45 awe na Elimu...
  5. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    Asante ndg
  6. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    Nashukurun sana kwa ushaur. kwanza ni mtu ambae hana hata chembe ya shukran kwasababu yy huwa anampa huyo dada pesa za matumiz hapo nyumban ili aweze kununua vitu vya kumaliza mwez lkn utajikuta siku ya siku vile vitu alivyonunua dada yake havimalizi mwezi na hukuta ananipigia cm kuwa vitu ndani...
  7. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    Nashukuru kwa kuweza kunisaidia kimawazo wapendwa
  8. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    kuishi mmm bado naishi kwangu ila wakati mwingine ndio huwa naenda hapo kwake na yy huwa anakuja kwangu na huyo kaka yy ndie anaishi na dada yake huyo
  9. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    Asante kwa ushauri
  10. A

    Huyu ni mwanaume mkweli?

    Habari zenu ndg wanajf napenda kuwapongeza hii ni mara ya kwanza kuandika huku naomben ushauri.mm n dada wa miaka 31 nimeajiriwa.niliolewa na kupata mtt bahat mbaya mume wangu hakuwa riziki kwan alipoteza uhai kwa ajali ya gari alipokuwa safarini 2009. Baada ya hapo niliamua kutulia...
Back
Top Bottom