Kwa mfano kariakoo ya 1960 ilikuwa na watu wangapi,na ya sasa watu wangapi,
Mabomba ya kutoa maji taka Yale Yale size 4" , Barabara upana ule ule , parking zile zile ,maji Safi mabomba size Ile Ile
Kwanini na yeye alikubali kuulizwa toka kwenye hiyo document, yeye angesema hiyo imechelewa. Sio ya kwake.mpaka atakapo9ngea na uongozi wa benki husika
Na kuna mambo ya msingi ya kuwauliza Kuhusiana na Kesi kama Baraza la Ulinzi wakipata hii taarifa na hatua walizo chukua , ikiwemo tiss kulibeba Jambo hili na Offisi ya dpp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.