Recent content by auba

  1. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huuuchawi muindi anaoutumia looooo? tutaacha abeet mwenyewe. Haiwezekani
  2. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ila wamekaza AEK dakika ya 10 walipata umeme wamecheza pungufu siwalaumu sana. Japo wamenichania
  3. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaar kaaribu pesa levetkuzen
  4. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sevilla 4 anapiga mtu 8
  5. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya vipi kachukue elazako mapema sana maaana ukiliwa lost hacheleweshi na wewe usichelewe?
  6. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Taya imetoka iyo hata akichezesha lile korokoro lake la frimasoon kama ni umeweka hivo kweli muhindi msiba mapema wakazike, 65000 wn
  7. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huuumchezo hauitaji hasiraaa? Yani timu unayoiamini%100 eti ndiyo inayokuuwa ile usiyo iamini ukija kuangalia matokeo .......?
  8. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo cijui nimejichanganya vipi ajax huyu kashauwa 62500 daar!
  9. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo Chelsea nano anaweza kunilaza na njaa .
  10. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani nikim.betia tena atletiko Mimi daar kasha niulia 80000 tayari
  11. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wenzangu nimeweka sulu game ya vilareall na atletiko vipi hapo
  12. auba

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi ela zamuhindi zinaonekana lakini duuuu kuzichukua sasa
Back
Top Bottom