Recent content by attiye suleiman

  1. A

    Yafuatayo Baada ya "KUNYIMWA" Mkopo.

    toa ushauri nini tufanyee tuvae mabom tukaripue body auu huuuuu
  2. A

    Mdahalo wa ufafanuzi kuhusu utoaji wa Mikopo 2016/2017

    kwa ufupi mkopo wangefanya kwa wanafunz walosoma government tu
  3. A

    Mdahalo wa ufafanuzi kuhusu utoaji wa Mikopo 2016/2017

    na.wakichukulia kupas sana maisha watoto wa matajiri ndo watapata mikopo cos mtu yuko private tangu.chekechea kishajengwa uwezo wa kutosha wa kiakili lazima atakuwa yuko vizur kimatokeo tuu
  4. A

    Mdahalo wa ufafanuzi kuhusu utoaji wa Mikopo 2016/2017

    apo nasaport cos utakuta mtu A level kasoma shule la ukweli ada kwa mwaka milion4 huyu haitaji mkopo uwezo anao jamn sis watoto wa masikini tunasomaje natamani kulia
  5. A

    Hizi loan allocation majina yake yatatoka lini vyuoni basiii

    mbona yashafika sisi ZAnzibar University wanafunz 61 tu ndo walopata mtihn
  6. A

    Mkurugenzi HESLB: Zaidi ya asilimia 90 ya fedha za mkopo zimeshafika vyuoni

    kwanza niulize majina ya waliopata mkopo ndo yote yashamalizaa au wana batch nyengne
  7. A

    Mkurugenzi HESLB: Zaidi ya asilimia 90 ya fedha za mkopo zimeshafika vyuoni

    Baada kuangalia wanoomba wapya wanashulikia wanufaika jmn aaa
  8. A

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    watoto wa maskini tunaangamiaa kwa hali hiii duu
  9. A

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    nambiwa not allocatet kwenye first banch kwa hiyo banch ni.ile ile hawajatoa banch nyengine
Back
Top Bottom