Recent content by Atomic Radiation

  1. A

    JamiiForums Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving

    Ni kanuni zipi ya kifedha huwa zinakusaidia sana katika kufanya saving na kutumia vyema kila fedha unayoipata?. Uzoefu wako huenda ukamsaidia mtu mmoja mahali katika kufanya saving na matumizi sahihi ya fedha zake.
  2. A

    JamiiForums Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    I stand to be corrected. Hakuna akili ndogo wala kubwa, kwani akili ni uwezo wa asili ambao kila mtu anao kwenye eneo husika. Kwa mujibu wa Neurological Institute of Los Angeles, 2015 "Akili ni uwezo wa asili uliomo kwenye ubongo unaomwezesha binadamu au kiumbe kufikiri, kuelewa, kujifunza...
Back
Top Bottom