Recent content by atktc

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Masaa 24 yametimia umeme bila bila, mi nahama hiii nchi!
  2. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni masaa 19 mpk ivi sasa hamna dalili ya umeme kurudi, I guess tunalala giza tena na leo huku Makongo siku ya pili mfululizo, Nchi ya viwanda wananchi wanakaa bila umeme 2days. Mi ngekuwa waziri wa nishati ngetumbua Tanesco yote afu nieke team mpya! Mvua zikinyesha wanasingizia mvua, labda na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yea Mpaka ufike huku kwetu itakuwa saa 3 usiku.. mbona hamtuambii tatizo, acheni kufanya kazi kihuni!
  4. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hata huku kwetu Makongo hakuna, hii kiboko Pasaka tunalia gizani!!
Back
Top Bottom