Liverpool inaendelea kukabiliwa na mechi ngumu Ijumaa, watakapozuru Chelsea kwa mchezo wao wa nne ugenini, wa tano kwa ujumla kwenye Ligi Kuu Uingereza.
Habari kuu zilizoenea kutoka kwenye mkutano wa Jürgen Klopp na waandishi ni Mjerumani huyo kubainisha kuwa Emre Can amerejea mazoezini lakini...