Recent content by Astro world

  1. Astro world

    Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Tatizo sio size ya cheti changu chet kina kb 221 ila shida iko hapa ndugu hapa bonyezeki kabisa kila ninavyojaribu na mtandao hausumbui kabisa 👇👇
  2. Astro world

    Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Dah! Yan mwaka huu ni shida kote mi hadi RITA kwenye kipengele kile cha ku attach chet kinagoma kabisa
  3. Astro world

    Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Habarini za kazi wadau! Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
  4. Astro world

    Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Duh bc huenda ikawa hivyo maana ni wiki sasa kila siku najaribu lakini shida iko palepale, ukifanikiwa naomba tujuzane ndugu
  5. Astro world

    Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
  6. Astro world

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    samahan wakubwa hivi kwamfano umepata chuo cha private udaktari na mkopo ukapata asilimia100% je serkal hapo itakulipia shi ngapi ili na ww uongezee hio itakayobak maana kuna wengine wanasema M3 wengine M1.8 ipi ndo yenyewe
  7. Astro world

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    naombeni msaada wakubwa hiv kwamfano umeomba chuo cha private udaktari na ukafanikiwa kupata na mkopo nao ukapata asilimia 100% je serikali itaweza kukulipia itakulipia ada kiasi gan ili hio inayobaki uongezee mwenyewe maana kuna wengine wanasema itakulipia milion 3.1 wengine 1.8 kulingana na...
Back
Top Bottom