Nyie huyu anaedai kuwa raisi wetu anajua ukweli kuhusu bashite pia munaitaji kwenda kuombewa na gwaijima[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] bcs mm nikisingiziwa nimegushi vyeti sitalia bali nitaonesha vyeti vyangu vya form 4 nilivopata 4 wala sintaficha sasa kuna ugumu gani kutuonesha vyake...
Makonda mm navomchukulia ni hana tofauti na ney wa mitego yani anachowaza yeye ni kuandikwa kwenye media tu na kuongelewa
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Kwa anachokiongea lissu ni maoni tu kama sisi tunavyotoa umu na hawezi kuwa mnafiki kwa sababu mheshimiwa jk ndio alisema mwenyewe kuwa anayo hayo majina ila hakuyataja so dats means mimi na wewe na lissu hatuyajui bcs hatuna ila uyo makonda kama kweli sio mnafiki na ana nia ya kuthibiti basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.