Recent content by Aspergillus

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Ni kweli lakini sisi waafrica ni wagumu na wazito, kuamua, hilo ni tatizo
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Ndio hivyo, sioni kabisa haja ya kuendelea kuwakirishwa na watunwachache ilihali sikuhizi ni utandawazi, mikutano inaweza kufanyika bila kukutana, pia hata bunge linaweza kuwa hivyo, ili kuhusa washiriki wa kutosha kwenye maamzi
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Asante tutaifikisha tuu, natumaini miaka ijayo tutakuwa na Bunge huria kwa njia ya mtandao, ili kuweza kuruhusu raia wengi hasa vijana kuchangia maoni na maamzi katika masuala ya Taifa letu
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bado hujachelewa anza sasa

    Braza andiko lako halijafikia maneno 700, fanya kuongezea ili walifikirie
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Thankss
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Utangulizi Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi. Mtu aliye tayari atajisajiri katika mtandao wa bunge utakaoanzishwa, na maombi yatatumwa selikalini...
Back
Top Bottom