Recent content by Aslan 7

  1. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Shukrani kwako kwa ushauri mzuri Nashukuru kwa ushauri wako mzuri na naahidi kuufanyia kazi.
  2. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Niombee tusifikie kwny shirki na mm sihitaji shirki ndio maana sikwenda kwa waganga. Nilivyopitia huu uzi nina matumaini kuna namna nzr nitasaidiwa hapa Asante sn nami nakuombea kheri ndugu.
  3. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    ...Kifo humuumbua:(
  4. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Asante kwa ushauri ndg Mimi sio mshirikina na siombi kufanya ushirikina iwe kwa kujua ama kwa kutokujua,Mungu wetu anauchukia ushirikina. Kumuacha ni ngumu malengo yng nimsaidie hilo ni jukumu lng km mume siwezi kukimbia. Kuhusu watoto sizani km nitakuwa na amani nikiona wakiteseka,ndio maana...
  5. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hata mm nawaza hvyo kwa maelezo ya mke wng alishawahi kunieleza babu yake(ameshafariki) alimkataza kukalishwa chini kutibiwa kwa maana atapokonywa uwezo wake, Na yeye mwnyw anasema anaogp kwenda kwa baba anahisi kuna vitu anataka kumpokonya avifanyie kazi kwny mambo yake ya tiba Note:baba na...
  6. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Unajua kuna changamoto nyng(nyingine ni ngumu kuziweka wazi zaidi) km nilivyosema hapo kabla ndio maana niliomba kufahamishwa zaid kuhusu hawa walimu km wanawez kuondoka kistaarabu nifanye hvyo mke wng anateseka sn
  7. Aslan 7

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Habari zenu ndugu zangu? Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa mleta mada na wachangiaji wote kwa ujumla. Kuna elimu kubwa iliyojificha wengi hatuifahamu vzr lakini kwa mapitio yanayowasilishwa tumejikuta mengi kati yao yanatuhusu kwa kiasi fulani,kama halijakugusa wewe basi kuna mtu...
Back
Top Bottom