Recent content by ASLAC sechu

  1. ASLAC sechu

    Mwenye post graduate ya sheria anaruhusiwa kwenda law school?

    Hapana haiwezekani. Kwa mujibu wa Law school Act of 2007, mtu mwenye vigezo vya kwenda law school ni yule aliyesoma bachelor in law. Asante
  2. ASLAC sechu

    Fourth Round

    Congratulate hapo umechaguliwa....but before ilikuwa haisomeki hivyo
  3. ASLAC sechu

    Fourth Round

    Yeah hujapata, ukipata utaambiwa your provisionally selected,,, but yakwako inakuhitaj kubadili program ambazo upo qualified
  4. ASLAC sechu

    Fourth Round

    Hapo bado hujapata but umepew fursa ya kubadilisha program na kuweka ambazo una sifa ya kuzisoma......either ulizoziweka hukua na sifa ya kuzisoma.. .ingia in ur profile ubadili selection
  5. ASLAC sechu

    Sheria inasemaje kuhusu aliyeishitaki Israel kwa kwa kumuua Yesu?

    Huyo mwanasheria hana locus stand... Hii scenario imekuwa ikionekana katka vijiwe vingi vya kisheri lakin mwisho wa siku tunaangalia locus stand ya yeye kupeleka case mahakamani.
  6. ASLAC sechu

    Ukiwa na Certificate ya ICT, Unaweza kusoma diploma ya Account?

    Inawezekana kwa baadhi ya koz znaozendana kwasababu moja kati ya wadogo zangu alisoma human resource certificate then akahamia law kwa diploma till bachelor.... So jarbu huenda ikawa zali
  7. ASLAC sechu

    Application 4th Round ni majanga. TCU wanazingua!

    Mhmh.... Mi nadhan chuo chenu ndo wamezingua coz kwa jinsi nnavyofaham matokeo yakishatoka chuo hupeleka matokeo nacte na pia chuo hutengeneza transcript na huwa hazipelekwi nacte ndio maana huwa hazina muhuru wa nacte au sahihi ya mtu kutoka nacte. Wanaohusika kuzkishapitisha na kudhibitisha...
  8. ASLAC sechu

    Application 4th Round ni majanga. TCU wanazingua!

    Ukiwapigia wakat kama huu huwa hawapokei, labda uende direct TCU watakusaidia
  9. ASLAC sechu

    Application 4th Round ni majanga. TCU wanazingua!

    Jaribu kuresend Mara nyingi coz mtandao wao huwa unazngua kweny kuapload. 7bu ya kubwa ni kuwa busy, watu wengi wanakuwa kweny mfumo so wakati mwingine huwa inalemewa
  10. ASLAC sechu

    Msaada; NACTE grading system.

    Pia ujue kama uli apply vibaya kwa kuunganisha NTA level 5 na 6 sehem moja na ukaweka sehem waliyohitaj level 6 tu, huwa wanajumlisha, wenzangu walifanya hivyo but wakashushiw GPA but walivyorekibisha katk 3round wamepata. I mean sehem ya level 6 hakikisha imekaa yenyewe. Kma ulifanya hivyo na...
  11. ASLAC sechu

    Application 4th Round ni majanga. TCU wanazingua!

    Pole sana, cha msingi endelea kusubiri, Mimi nliapyly 1, 2 ila 3 nmepata na wakat huo wote walikuwa wanatoa fursa ya kuaply upya but hawakuw wanaruhusu kubadili vyuo....so jaribu kuwa na Subira huenda ukapat katka round hii ya 4
  12. ASLAC sechu

    Msaada kuhusu postgraduate.

    Je Mwenye postgraduate diploma anaweza kusoma bachelor kwa kutumia matokeo ya postgraduate?
  13. ASLAC sechu

    Kuhusu postgraduate diploma

    Je mwenye postgraduate diploma anaweza kuaply kusoma bachelor kwa kutumia matokeo ya postgraduate?
  14. ASLAC sechu

    Msaada wa ufafanuzi kwa wataalam...

    Je kuna mazingira ambayo yanaweza kupelekea nacte wakajumlisha GPA za NTA level 5 na 6 ili waweze kupata cumulative GPA za mtu kwenda bachelor? Nasema hivi coz kuna habari alizipata ndugu yangu aliyeomba kwenda bachelor kuwa, kama chuo hakina full registration itapelekea nacte kujumlisha NTA...
  15. ASLAC sechu

    Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo

    No way out, hukumu ya kifo inabidi ibaki pale pale na ikiwezekana iwe inatekelezwa maramara kwa Mara coz kuna watu wamekosa utu na wanawauwa wenzao kikatili.......no way out,,,, ukitak usinyongwe ucfanye uhalifu
Back
Top Bottom