Recent content by Asimwe deodatus

  1. A

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na diploma ya computer science halafu degree nikasoma banking and finance au accountacy and finance?

    Oooh kmbh asantee kwa ushauri wako Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Master of Science in Computer Science UDSM

    Naomba kuuliza vigezo vya kusoma CS degree,nimemaliz diploma ya computer science .naomba kujua ada ipoje hapo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na diploma ya computer science halafu degree nikasoma banking and finance au accountacy and finance?

    Kwa hiyo ni bora niendelee na computer science au maana mm nilitaka nibadilishe ,ndio maana nilikuwa naomba ushauri Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na diploma ya computer science halafu degree nikasoma banking and finance au accountacy and finance?

    Naomba kupewa maelezo kwa jambo hilo kama inawezekana na vipi inaweza kuwa na athari au na vipi pia kwenye hz course zote mbili kwa upande wa ajira.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Hiii,samahani naomba kuuliza ukiwa unaomba AVN unaweka matokeo ya mwaka wa mwisho maan mm nimemaliza mwaka huu naomba kujua naweka ya mwaka huu au n ya miaka yote,,,,,,,,,,...pia naomba kuuliza hiyo AVN inatumika kwnye kuomba na mikopo au n vyuo tu naomba kusaidiwa Sent from my Infinix X657B...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Samahan ndug zangu,naomba kuuliza kwa waliotoka diploma mwaka huu,kwenye kuomba mkopo inahitajika na AVN au n matokeo tu,,,,afu pia naomb kuuliza kwenye kuomba AVN unaweka matokeo ya mwaka wa mwisho au miaka yote
Back
Top Bottom