Chadema walisha sema, kushirikiana na tatu ni mtego wa CCM, CCM wakija wanapaswa tia kwa hao ili kuwavuruga! Just imagine, inashirikiana na Dr. Sala, the CCM wanakuja, anauwezo wa kuwakwepa! Hivyo walipiga mahesabu kwa mbali, wakaona, tukijiingiza kwa Sala, tutalia tena! Na usikute CCM wametuma...