HAPA UTAJUA KWAMBA TAIFA HILI HALIWEZI KUENDELEA MPAKA BAADHI YA VIONGOZI WA CCM AMBAO HAWATAKI KUAMBIWA UKWELI KWA SABABU YA MASLAI YAO BINAFSI (UFISADI) KWASASA TUNASIMAMA NA GWAJIMA MZALENDO NA MPENDA HAKI ZA WATANZANIA

KUSIMAMA NA SAUTI YA WANANCHI
Katika mazingira yoyote ya kidemokrasia, sauti ya mwananchi inabaki kuwa msingi wa utawala wa haki. Leo, tumeshuhudia matamshi na mwelekeo wa kisiasa unaolenga kumshambulia na hata kumtenga Mbunge wa Kawe, Mhe. Josephat Gwajima, kwa sababu ya ujasiri wake wa...
Tangu nimekua mtoto na sasa ni mtu mzima sijawahi kuona taifa lenye watu wenye roho mbaya kama hili yani unapata mda wakaandika waraka kumpinga gwajima ambae alisimama mbele ya wanyonge wasio weza kujitetea kuhusu utekaji wa watu na gwajima hakusema rais ndiye anaehusika walah..karudie tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.